Published on: 2021-04-03
2 Wakorintho 5:7 "(Maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona.)" Tunapozungumzia imani mara nyingi watu hufikiri tu juu ya imani ya kutenda miujiza ,au kuponya wagonjwa . Lakini nivugumu kujua kwamba Ukristo mzima ni imani . IMANI YA MKRISTO NINI? (Yohana 3:16) "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanaw... Read more →