The VOP Ministry

Mwl.GODLISTEN MSHIGHENI .........................


THE VOICE OF PENTECOST MINISTRY
.......................


  UJUMBE WA LEO


 • JINA JIPYA TULILOPEWA


  JINA JIPYA TULILOPEWA
  Ninyi ni nuru ya ulimwengu .Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima (mathayo 5:14)
  Mungu akaiona nuru ya kuwa ni njema Mungu akatenga nuru na giza (Mwanzo 1:4)
  Bwana yesu ndiye anatoa majina ametupa majina mengi sisi wana wa Mungu , kama nuru, chumvi , wanafunzi ,wafalme na mengine mengi tu na bado limebaki jina moja kwa kila mtu ambalo atapewa mtu peke yake na hakuna mtu mwingine atakayelijua siku ile tukifika Mbinguni (Ufunuo 2:17) ila leo nataka tuangalie juu ya jina hili ‘Nuru’ . Inawezekana mara nyingi unasoma maandiko haya lakini leo nataka nikushirikishe mafunuo mengine kuhusu nuru      Read more ...

 • MAWASILIANO


 • GODLISTEN MSHIGHENI,

  S.L.P. 149 LUSHOTO,

  TANGA - TANZANIA.

  SIMU: 07898744316

  EMAIL: godlisten@vop.info.tz

  MAFUNDISHO


 • SIRI YA KUMSHINDA SHETANI


  SIRI YA KUMSHINDA SHETANI(UFU.3:21) Yeye ashindaye nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi ,kama mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu katika kiti changu cha enzi      Read more ...

 • FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA


  FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA1.Kunena kwa lugha humsaidia mtu kuongea na Mungu moja kwa moja. Neno la Mungu linasema mtu anayenena kwa lugha Roho yake huongea na Mungu. Maana yeye anenaye kwa lugha hasemi na watu, bali husema na Mungu maana hakuna asikiaye, lakini anena mambo ya siri katika Roho yake (1 Wakoritho 14:2. Roho Mtakatifu aliyepo ndani ya mtu humuongoza mtu kuongea na Mungu moja kwa moja bila mtu yoyote kujua. Roho Mtakatifu anayekaa ndani ya mtu anajua nia ya mtu anajua      Read more ...

 • VISITORS COUNTER